ally kitupe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 259
- 217
Jamani mm naongea kutoka moyoni kabisa nilitokea kuipenda iphone ikiwa mm ni bingwa wa simu za android kwakweli nilitamani niiludishe alafu nipewe simu yeyote ata tecno powa simu yangu ilikuwa iphone 4 ivyo kadri siku zilivyokuwa zinaenda nilianza kuzoea vitu vyake nitofauti kabisa ila ukiizoea utakutana na maujanja kibao ila inaitaji moyo siku za mwanzo
Kwasasa nazipenda iphone kuliko simu yeyote ingawa iphone yangu imeariba kwa sasa
Kwasasa nazipenda iphone kuliko simu yeyote ingawa iphone yangu imeariba kwa sasa