hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
Wakuu naomba kufahamu kwanza,,mimi natumia simu inayosupport line ya voda tu,,sasa je nikitumia ile huduma ya kuhama namba bila kubadilisha line,,je simu hii itaweza kuendelea kusupport huo mtandao nitakao hamia,,pili nikiweka line tofaut inadai pasword je naipataje hiyo pasword simu yenyewe ni vodafone (vf695)