Tecno smart phone ni shidaaaaaa

Smart Technician

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
653
824
SIM ZA TECNO ZINA MATATIZO BALAA
Kama ulishawahi tumia smart za tecno lazima ulishawahi kutana na moja au yote matatizo yafuatayo .na utakuja kugundua utofauti kama nawe kwa sasa unatumia smart ya kampuni jingina
1 kujizima ukiingiza app nyingi kama hakuna memory card ulioweka
2.kupokea sms nyingi wakati ilitumwa moja tu
3.GPS kujiwasha yenyewe.hata uzime vipiii
4.message ku mark kama haijasomwa wakati umesoma
5.lawama kwa watu unaowatumia sms kuwa unatuma sms 1 mara nyingi kumbi 1 moja tuu
6.kuisha sms za kutuma sabab sms zinajituma zenyewe na zina tumia vocha
7.kumaliza betri haraka sabab ya kujiwasha GPS
8.ram speed ndogo sanaaa hadi kupiga inaleta shida ukiwa na app nyingi
9.ukiandika sms ndefu inajibadili kuwa mms
10.kuwa na mwanga hafifu hata uweke full
11.huwezi ku reset factory mpaka ujue kichina reset factory yake imeandikwa kichins
12.baadhi ya app hudai kujaza aina ya sim tecno halitambuliki hizo app utszikosa
13.inachagua bluetooth za kukamata
14.ina support multiple touch 2 tuu
15.kujizima yenyewe ikijaa vitu
16.kutengeneza folder nyingi kwenye memory
17. kufail kwa app muhim kila mara kama launcher
18.kugundua touch mpaka kidole.kibonyer
19.ukiandika sms huku unatumia power bank au charge utajuta ukibonya s mara ilete w fulu kuotea
20.button ya kumpigia mtu mda mwingine ukiminya upige yenyewe.inaanza kusearch contact
21.baadhi ya ussd code ukiziandika zinajifuta zenyewe
22.button za sauti na power kuregea mapema
23.ikianza tatizo moja ukipeleka kwa fundi ujue ikipona lazima urudi na tatizo jingine
23.gravity kuchelewa ku sence hadi mpaka sec2 hadi 5

kama wewe unatatizo mojawapo hapo juu nnaweza kukuelekeza jinsi ya kupunguza maana tecno nmetumia sanaaa
 
Hongera mleta mada ktk smartphone nilizotumia mara nyng ni hizi za tecno kwa kiasi kikubwa nawashukuru sn tecno kwa kutuwezesha kutumia whatsup,insta,vbe,skype etc kwa kuanzia na 110,000/=tecno N3 kipnd hcho,vile vile wamenisaidia kujua nn faida ya kuwa na cm yenye uwezo wa kusupport 3G,ktk kpnd hcho chote niliwahi kukumbana na changamoto 1 tu ktk tecno phantom(A+ or f 7) ambapo kunawakat nikifungua opera mini browser inapoanza kufunguka tu basi inakatakata heruf(inascrach).
KTK KUTUNZA CHARGE NAWAPA BIG UP KUBWA COMPARED TO SMARTS NYNGNE LIKE HUAWEY,SAMSUNG AND OV THE LIKE!
MWSHO NAWAPONGEZA KWA KUMUONDOA SOKON NOKIA
 
Hizo tecno unazosema wewe ni za being rahisi na uwezo mdogo utakuta ina ram 512 na memory 1GB sasa unategemea nini hapo?

1GB R.A.M ni ndogo ? Labda kwa simu za Tecno ambazo haziwezi kujifanyia optimization vizuri.

Ila kama una maanisha kwasimu zote, then Stay away from alcohol please.
 
Thanks be to Tecno wanatusaidia sana tz... Tatzo ni pale unaponunua cmu yenye specs ndogo alafu unataka performance iwe kubwa
 
mmmmmh,nina mwaka wa tatu sasa nadunda na P3 yng na sijawahi kupata tatizo lolote kati ya hayo uliyoyaiinisha mkuu
 
Hizo tecno unazosema wewe ni za being rahisi na uwezo mdogo utakuta ina ram 512 na memory 1GB sasa unategemea nini hapo?

Ram 1gb ni ndogo kwa smartphone?? Duh we jamaa wewe iphone 6 yenyewe ina ram 1gb. Kwel hyo 512 ndogo ila 1gb kwa matumiz ya kawaida inatosha kabisa
 
Ram 1gb ni ndogo kwa smartphone?? Duh we jamaa wewe iphone 6 yenyewe ina ram 1gb. Kwel hyo 512 ndogo ila 1gb kwa matumiz ya kawaida inatosha kabisa
Iphone kuwa na GB 1 isiwe sababu ya kusema RAM inatosha. Kumbuka iphone inatumia OS tofauti hivyo hata managememnt ya memory iko different. Android huwa inaruhusu background processes zaidi ya iphone hivyo unakuta memory inalika bila wewe kujua while iOS ina restrict contol sana ya apps. Mfano mzuri kompare windows XP na windows 7 utaona windows XP inaweza run kwenye 512mb bila shida while win 7 ina struggle.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom