hio ni common error ya tecno, fanya kuondoa battery na uangalie kwenye hasi(-) na chanya(+) za kwenye battery kama zina ukungu wa uchafu ukwaruze utoke, kisha weka batterry na uchomeke cm kwenye charge hata kama haionesh kama inachaj iache baada ya muda itajiwasha yenyewe...
N:B.uwe na subira!
Wenda betri halina moto wa kutosha,wenda temino za simu katika sehemu ua kuwekea betri zimeluzi,wenda ina short simu yenyewe,wenfa baadhi ya Ics hazifanyi kazi jaribu ushauri wa mdau hapo juu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.