Natafuta fundi mzuri wa kuflash android tablet

Fedora

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
238
172
Habari zenu wakuu.

naomba kufahamishwa ni wapi ndani ya jiji la dar es salaam nitapata fundi wa uhakika anaeweza kuflash tablet za android hasa chinese tablets.

Asanteni.
 
Ungetaja na majina ya hizo tablet ingekua vizur

Brand: Howin
Model: P790
System: Android 4.4.2
CPU: MTK 8382, Quard Core, 1.2GHz

Problem: corrupted OS (ukiwasha inawaka mpaka inapoanza kuandika jina lake-HOWIN kisha ina restart na kuanza upya. ie. boot loop)
 
Hapo mziki ni kuanza kupata flash file yake.

Ukipata flash file sema uelekezwe ufanyew mwenyewe

Nilishatafuta mtandaoni flash file kila kona, na sasa nimenyoosha mikono. Bora niwaachie wababe.
 
Huo ndio msiba, hapo mpaka ipatikane simu kama hiyo ufanye ku read firmware yake..
Du sa simu ya aina hii kuipata ni changamoto kubwa sana. Hili ndo tatizo la kununua bidhaa za makampuni uchwala.
 
Back
Top Bottom