jamani nilikuwa naomba kuuliza kwa wataalamu wa haya masuala na yeyote mwenye ujuzi kwamba inawezekana kuhama kimfumo kutoka kwenye simu inayotumia android kuibadilisha iwe inatumia windows phone os
natanguliza shukrani
inamaana itashindwa kufanya kazi stahiki?Ni kitu ambacho hata kikifanyika sio official , ni utundu utundu. Na ukifanikisha kubadilisha simu hiyo haitakuwa stable. Kutakuwa na tatizo la drivers na operation zingine.
Kuna watu wameweka windows xp pc version kwenye kifaa cha android lakini ni kwaajili ya kujifurahisha tu.
simu za developer zina tofauti gani na simu za kawaida?inabidi uwe na simu za developers kama nexus yoyote ile, Nokia n9, n900 na n950, htc hd7 na baadhi ya simu maarufu kama galaxy s3 na xiaomi mi4
mfano hio xiaomi mi4 official inaweza kuweka windows 10 ya simu, microsoft wameiport wenyewe.
simu za developer zina tofauti gani na simu za kawaida?
Simu za developers zinapatikana hapa Tz?zipo kama za kawaida lakini bootloader yake inakuwa imefunguliwa na haiekewi vipingamizi vya ovyo, ila si mambo rahisi kama unavyofikiria siku zote kueka os nyengine kwenye simu inataka ujue unalofanya
Simu za developers zinapatikana hapa Tz?