Msaada: Software nzuri zaidi ya ku-recover deleted pictures kwenye android phones

ITEGAMATWI

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
5,338
4,082
Habari za muda huu wakuu! Naomba msaada na ushauri juu ya Software nzuri zaidi ambayo ni user friend pia ya ku-recover picha zilizokuwa deleted ama zilizopotea baada ya ku-reset simu.

Ukitupia na URL yake ya APK file kama haipatikani kwenye google play store nitashukuru zaidi.

Natanguliza shukrani wakuu zangu!
 
Shukrani kwa ajili ya kugawana. Nilikuwa chombo aitwaye MobiKin Daktari android, inaweza kusaidia yangu kuokoa waliopotea anwani, picha, maandiko kutoka simu.
Inapatikana google playstore mkuu?
 
Back
Top Bottom