WhatsApp warudisha status za maneno

Rogie

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
7,584
6,694
Habari za wakti,

Wakuu kwa wale waliokuwa hawajafurahishwa na mabadiliko ya WhatsApp Inc. kuleta Status za video kilio kimesikika, WhatsApp wamerudisha text only status na wamefanya maboresho mengine.
49bbe3f89c85984d5673e041d42c2db6.jpg
 
Najua unatumia Android ambayo mara nyingi developers huita testing platform huko ndio wanapata crap kabla wenye iOS hatujapewa.
Natumia IOS ila nime jailbreak Mkuu naweza pata new updates leo wewe ukaja zipata mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom