Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wakuu, Naomba tupeane maujanja kama kuna trick au apps za kuongeza followers kwenye mtandao wa Instagram. Nahitaji sana msaada wenu na natanguliza shukrani.
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Naomba msaada simu ya tecno y 3 nikiiwasha zinakuja sms nilizotumiwa zamani.je nifanyeje zisiwe zinakuja?
0 Reactions
4 Replies
812 Views
Habari zenu wakuu. Napenda kutambulisha kwenu uwepo wa app inayoitwa "Appetite" (inapatikana playstore). App hii inakuwezesha kuandika recipe zako pamoja na kushare hizo recipe. Kwa sasa app ina...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Wakuu kwa anaeuza boom j8 isiwe na michubuko.. Rangi ya gold iwe na kila k2 kuanzia (head phone,chaja, lisiti nk...
0 Reactions
2 Replies
591 Views
Msaada wadau.. mimi nina simu ya samsung note 4.. sasa recently haifungui picha wala video za instagram wakat netwok iko poa (natumia airtel) na app ipo updated!! App myinginez ziko safi!! Hili...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu kwa anaeuza boom j8 isiwe na michubuko.. Rangi ya gold iwe na kila k2 kuanzia (head phone,chaja, lisiti nk...
0 Reactions
3 Replies
689 Views
Naombeni kunisaidia, hv umeingia dukan kununua simu ya w5 techno, kumbe cmu hyo ilinunuliwa na mtu mwingne ikatumika kwa 3days ukauziwa hyohyo! Je utawezaje kuitambua hyo cmu kama imeshawekewa...
0 Reactions
2 Replies
718 Views
Habari natumia router potable version Hauwei E5330 nimeweka lain ya smart inasoma 3G lakin speed kicheche Nipo Arusha
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Kwa wajuvi wa frash repair naomba software kwa mwenynazo
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Naombeni msaada wenu nielewesheni juu ya comment za programming language hasa kwenye html
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Karibu ni wadau wote wa Ku Design Website kwa kutumia CMS kama WordPress,drupal and joomla tupeane updates 1:Installation na Requirements zake 2:Themes,plugins and widgets updates 3:Jinsi ya...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Kichwa cha habari cha husika.Toka nianze kutumia laptop nimepatwa na hili tatizo mara kwa mara la laptop ku emmit joto la hali ya juu NB:Mazingira yote ya kuhakikisha kunakua na maximum air...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba keys za antivirus za karpesky 2016 kwa alie nae
0 Reactions
2 Replies
740 Views
jamani naombeni msaada nimeibiwa simu yangu aina ya Iphone 6S+ nahitaji kuifunga hii simu au kuipata
0 Reactions
58 Replies
7K Views
Hellow guyz, Ninatumain mu wazima wa afya njema katika nchi hii tukufu ya mkuu wa nchi Magufuli. Naomba msaada kwa mwenye uelewa, nataka kununua application kutoka appstore na option ya kulipia...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa? Naomba kwa wataalamu wa hivi vifaa, maelezo au specification ya hizi computer tafadhali. Nahitaji PC nzuri, naomba msaada wenu plz.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapi naweza kusoma programmes hizi,.. Ms access, excel, publisher, powerpoint kwa muda mfupi na gharama nafuu?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello Tech, Toka mwezi December nimehangaika ku upgrade toka Android marshmallow to Nougat na simu yangu ya huawei P9 lite ila ROM nyingi ni za ulaya na kwengineko nami natumia international...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Na hii ndiyo Serikali inayoishtaki JamiiForums! Wanaelewa kweli walifanyalo? Check Account Suspended
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Back
Top Bottom