Mkuu kingsize25 unaweza kututofautishia hivi HAPO CHINI na maana zake kama hautajaliAnza kwa kuelewa aina ya simu (makampuni) tofauti zisizopungua kumi.....ili ujue operating system zao pamoja na chip wanazopenda kutumia.....then ujifunze hardware(kutengeneza) hapo itakupa urahisi unapotaka kuichezea simu kwa namna yeyote kwa ufupi vitu kama spectrum,coolpad,mediatek,snapdragon(qualcomm),exynos,mali,kirin viwe ni vitu ambavyo ukisikia ujue unaanzaje kuitengeneza hiyo simu.....
wadau munisaidie nianze hatua gani ili niweze kuflash na kuaunlock pamoja na mambo yote yanayohusiana na maswala ya simu