kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Nataka kwenda kuweka window sielewi nikaseme vipi kwa fundi mwenye uwelewa a nisaidie Hapa.. Natumia window 7 aina ni Dell.. Ila Naona hafanyi Kaz Sawa
umejipanga vipi kubadilishiwa hyo windows ??Nataka kwenda kuweka window sielewi nikaseme vipi kwa fundi mwenye uwelewa a nisaidie Hapa.. Natumia window 7 aina ni Dell.. Ila Naona hafanyi Kaz Sawa
no tatizo hill c LA window coz window 7 IPO making xana tafuta kitu kinaitwa drive weka humo mchezo umeisha iyo drive ikoyomo outdated or hamna kabisa ivo ila kma unapesa za window peleka ukaliweKwa nyongeza kila wakat inanisumbua disk full.. Na pia taa ya WiFi haiwaki na haiwezi kukonect wireless nisaidieni wazoefu
Asante MkuuKupiga window
Asante Mkuukama ni ivo,means unahitaji kupiga window nyingne so utaenda kumwambia unahitaji kupga window.
Sawa nitafanya ivoNi vizuri ungemueleza tatizo la pc yako, labda hata haliihitaji kubadili window
Lengo nitatue shida iyo iliyopo Mkuuumejipanga vipi kubadilishiwa hyo windows ??
Asante Ngoja nikaonane na funditatizo sio windows unayoitumia mkuu... coz katika windows ninazozikubali 7 naipa no 1 ila... tatizo la pc yako ime"miss driver.. halaf la pili jaribu kukata disk ziwe zaidi ya moja then vitu vyote hamishia disk inayofuata.. ishu ya disk kuwa full itakuwa imeisha!
Nimekupata Mkuuno tatizo hill c LA window coz window 7 IPO making xana tafuta kitu kinaitwa drive weka humo mchezo umeisha iyo drive ikoyomo outdated or hamna kabisa ivo ila kma unapesa za window peleka ukaliwe
Asante Mkuu
Tatizo la WI-FI kuna driver hazijawa installed , so hata uki install window nyingin kama hauta wekewa driver za WI-FI ni kazi bure, na kuhusu disk full si swala la window ni storage shortage ya hard disk yako huenda ume save vitu vingi kwenye harddrive ndio maana unaletewa ujumbe huo hivyo unatakiwa kuhamisha baadhi ya vitu au kuvifuta kama si vya ,muhimu au kama kuna petition hamishia kwenye drive nyingine au external drive , kwa hayo uliyo yasema hayahusiani kabisa na swala la kushusha window mkuuKwa nyongeza kila wakat inanisumbua disk full.. Na pia taa ya WiFi haiwaki na haiwezi kukonect wireless nisaidieni wazoefu
Nashukuru MkuuTatizo la WI-FI kuna driver hazijawa installed , so hata uki install window nyingin kama hauta wekewa driver za WI-FI ni kazi bure, na kuhusu disk full si swala la window ni storage shortage ya hard disk yako huenda ume save vitu vingi kwenye harddrive ndio maana unaletewa ujumbe huo hivyo unatakiwa kuhamisha baadhi ya vitu au kuvifuta kama si vya ,muhimu au kama kuna petition hamishia kwenye drive nyingine au external drive , kwa hayo uliyo yasema hayahusiani kabisa na swala la kushusha window mkuu
Nimekupata Mkuu
Dah shukrani Mkuuchusibadili window kwnzaaa....apo inamaana kua kuna drivers zmekisekana pindi ulipokua ukifnya installation ss chakufanya ingia google download "driver pack solution online" then install katika pc yko halafu irun hyo program...wkt wa kurun hakikisha pc ina mtandao....baada ya apo ikifunguka itaanza kusearch drivers zte zlzomiss ktk pc yko then utazdownload na matatzo yte yatakua yamekwishaaa
Nataka kwenda kuweka window sielewi nikaseme vipi kwa fundi mwenye uwelewa a nisaidie Hapa.. Natumia window 7 aina ni Dell.. Ila Naona hafanyi Kaz Sawa