Wakuu msaada wa ku update samsung galaxy s6edge

Bigteacher

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
457
191
Habari zenu wakuu jamani najaribu ku update simu yangu lakini nakutana na ujumbe huo hapo chini na simu yenyewe ni second hand hivo sijui modifications gani zilifanyika
Screenshot_2017-03-21-06-05-41-1.png
 
Hiyo hapo mkuu
Ingia download mode kisha angalia kama model number itafanana na hyo ya ndan ambayo ni g925f...kuingia kweny download mode zima simu kisha bonyeza batan ya kupunguza saut usiachie kisha home batan usiachie then malzia na power batan..shilikilia had simu iwake itakuja robot ya android na utabonyeza volume up batan to continue hapo sasa utakua kweny download mode ..sasa angalia model inasomekaje af niambie
 
Naingiaje kwenye download mode
 
HALAFU MKUU NATOKAJE KWENYE HIYO DOWNLOAD MODE MAANA IMENIANDIKIA "DOWNLOADING......... DO NOT TURN OFF TARGET "
 
Hold power batan had simu izime ndio utatoka kweny download mode

Sasa tafuta bando kama 2gb kisha ingia hapa Download firmware: G925FXXU5EQAC_G925FOXA5EQB1_XEU na udownload hilo file ndio litatumika ku update simu yako..hakikisha una tengeneza account kwanza kweny huo mtandao ili kiweza ku download hilo file..ukitumia computer ndio itakua vizur kufanya hiyo kazi
 
Aliye kuwa akiitumia hiyo simu awali alikuwa amei-root, hivyo unapo-root simu yako jambo la kwanza unapoteza lisence na ndiyo sababu ya kutoweza ku-update.

Labda jambo la kufanya fatilia maelekezo unayopewa na kcamp kwa makini sana huenda utafaulu, vinginevyo endelea kutumia version hiyo hiyo.
 
Shukran mkuu ngoja nikachukue pc nifanye hiyo kaz
 
Back
Top Bottom