Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wadau, Nimekuja hapa kupost my experience with a fraud web developer na kama kuwapa caution wengine. Kuna watu wanajifanya ma web developer lakini ukimpa kazi anaanza mizungusho. Kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, kuna mtu humu ndani anafanya web hosting kwa kutumia sentora panel. Naomba tuwasiliane kama yupo au unaemjua.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa ufupi mimi na-deal software za simu sana sana kuflash simu kwa hiyo nina uzoefu mkubwa, nipo pale Kariakoo kwa hiyo ningependa kusikia swali lolote toka kwenu wadau. ========== Hizi ni sababu...
1 Reactions
95 Replies
17K Views
Nahitaji kufanya shipping ya Parcel(spare parts ya simu. screen display+ battery) kutoka texas usa kuja bongo kwa mwenye uzoefu. Ipi ni njia rahisi ama best shipping company ambayo naweza kutumia...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nna shida na desktop za core i5 na core i3 second gen. My budget ni 300k mpaka 350k.
0 Reactions
5 Replies
866 Views
Heshima zenu wakuu. Tafadhari naomba wajuzi wa teknolijia hii mnisaidie kujua ubora na bei ya smartphones zifuatazo. Najipanga kupata mojawapo baada ya kupata ushauri wenu maana sijawahi kumiliki...
0 Reactions
163 Replies
77K Views
Source: Techradar. Nokia is back. The Finnish brand is once again adorning smartphones and at MWC 2017 it took to the stage to reveal its first three devices: Nokia 6, Nokia 5 and Nokia 3. All...
0 Reactions
1 Replies
835 Views
Habari wakuu, Naomba yeyote mwenye computer yenye GPU tuwasiliane anisaidie kuna software natumia lakini sina GPU kwenye laptop yangu kwa hiyo sipati results nzuri kwa kutumia CPU peke yake. Kama...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
*CAMERAMAN WA ENZI HIZO....* [emoji57][emoji57] Makamera man walikuwa majeuri kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii Kamera ina likamba fulani jeusi inaning'inizwa shingoni..... Kameraman ana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sold
0 Reactions
0 Replies
434 Views
Nina simu yangu tecno c5 tatizo pale nikitaka kutumia camera katika whatsapp au instagram au app yoyote ambayo naweza kutumia camera inaandika camera is denied restart your phone. Msaada, nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumia tv sumsung ila nikiweka picha zinonesha rangi nyeupe tu kiasi ambacho inaniumiza macho nini kifanyike ili kurekebisha rangi
0 Reactions
2 Replies
767 Views
balbu ya cfl JINSI YA KUANZA ZOEZI LAKO fungua balbu yako ondosha kigae (spiral) katika balbu yako muonekano wa ndani wa balbu yako utakuwa kama hivi tenganisha kwa uwangalifu kigae(spiral)...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Hiv hii machine Kwa game gan inafaa na nitaifanyaje ili niweze kucheza latest games mwenye idea yeyote msaada wako ndo mwisho was tatizo langu nauliza iv kwa sababu kuna pes 15 na linacheza tu vizur
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wataalam mwenye kutambua code za hiyo cm anipe msaada, inatumia laini moja ya voda sasa nataka niwe natumia laini yoyote baadaya ku unlocm
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Habari wakuu. Nahitaji hosted Virtual Private Server (VPS) ambayo nitaweza kuunga na remote desktop yangu. Nimecheki mtandaoni zipo huduma nyingi ila ukitaka server yenye RAM ya 1GB au zaidi ada...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu. Kuna tatzo nalipata kwenye simu yangu, ni kwamba kuna muda huwa nakua bizy na mambo yangu mengine sasa simu inaniletea notification ya whatsapp inayosema "YOU MAY HAVE NEW...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
jamn naomben nimsaidie anejua advantages of actvating device administration on sumsung phones
0 Reactions
0 Replies
609 Views
AVS
Nimeshauriwa na Fundi wa Air conditioner kuwa ninunue AVS ya kucontrol umeme Je kitaalamu kifaa hicho kinaitwaje? Wataalamu naomba msaada
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samsung waja na iz S7 watia ki builtin apk icho kinaitwa Custom blocker ambacho mtu ukiiba cmu almost una tumia kama kopo asee ki application hichi huizuia cmu kwenda kwenye download mode ,ADB...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom