Muongozo: Ununuaji wa laptop kwa kigezo cha processor

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,188
3,360
jjj-png.485824

Ni majuzi majuzi tu laptop yangu ya Lenovo iliyomudu kukaa kwa miaka minne ilianza kunizingua vitu kibao na hivyo kunipelekea kufanya maamuzi ya kununua laptop mpya(R.I.P my lenovo T420 2012 -2017 nilikupenda sana ila sikuwa na njia nyingine Bali kutafuta pc nyingine).

Siku nayoenda kununua mashine ilikuwa ni siku nzuri kwa maana nlivyofika tu Dukani mashine mpya zilikuwa zinashushwa kuingia dukani, Hapa nikaona ngoja nichangamkie hii bahati kwa kuchukua pc nzuri yenye processor kali bila kuzingatia RAM AU HARD DISK SPACE maana hivi hua vinaongezeka bila tatizo, Kwa wakati huo nilikuwa na uelewa mdogo wa processor, nilidhani mashine yenye processor ya Core i7 yoyote ina nguvu kuliko core i5 yoyote, Hivyo kwa siku hiyo nilichukua mashine ina core i7 5600u na nikajiona mjanja kweli kweli.

Kuna mashine moja nliipenda ilikuwa ni core i5 7200 U ilinijia kichwani lakini kutokana na uelewa nliokuwa nao wakati huo nilijua hio i5 7200-U haiwezi kuikamata i7 5600U, Kama Utani vile nikaanzisha mada ya ku compare hizo processor mbili humuhumu jamvini , Kesho yake nilirudi kucheki replies, Kufumba na kufumbua wanajamii walishinikiza kwa "Strong Facts" kuwa i5 - 7200U ndio bora kuzidi i7 -5600U,,, AISEE yaani hio hio asubuhiiii nlienda kuirudisha i7 na nikaichukua core i5 - 7200 mana zilikuwa na bei moja, Kitu kingine Graphics ya i5 - 7200U ilikuwa ni Intel 620 (Nzuri) wakati ile mashine ya i7 ilikuwa na graphics card ya Intel HD 5500(Haifikii Intel 620) kitu ambacho chief mkwawa aliniaminisha nisije kujiaminisha kuwa namba ndogo ni Dhaifu...

Kwa wenzangu na mimi amabo tunapenda kununua laptops kwa kigezo cha processors muwe mna ingia hii websiite ya www.cpubenchmark.net kwa kuangalia points za processor unayofikiri itakufaa na hata pia kulinganisha processor mbili au zaidi,
 
Attachments

  • jjj.PNG
    jjj.PNG
    14.9 KB · Views: 132

Mkuuu uliirudisha hauku ionja sanaa sasa duu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom