Jifunze kutengeneza tangazo na cover photo

Pit brown

Senior Member
Jun 30, 2015
132
64
Habari wana jf? Nimekuwa nikijifunza utengenezaj wa matangazo aina ya graphic na cover photo na nikiwa naitaji zaidi mbinu na ubunifu mwingi kama ww ni miongoni mwao unaweza kunisaidia ama kunikosoa katika hatua hii
4178fa1e4a01df795eb1c6352a655644.jpg

1e7997afff52ea6e6379924b038bc907.jpg

gallery/0d768b4fd90df951e5378f3cc57308da.jpg[/IMG]
2a2d2c73ba87f0e65eb30cbf0ffe1d6a.jpg

235a45557323fd5eae2f685283aa74ad.jpg

712eea4ec2da588a27267bd689f61bce.jpg

5739ed8a2a40af9369fe5ae5797721d9.jpg
 
Picha namba 4 na namba 5 umejitahidi , japokuwa kwenye picha namba 4 hizo font umeweka rangi za ajabu, nenda kajifunze jinsi ya kupangilia rangi, na kuhusu hizo picha nyengine kwasisi watumiaji wa PC zinaonesha uozo wa kiwango cha lami,
sema kama ndio unajifunza umejitahidi
 
Aah sante sana kwa ushaur wako
 
Kwamfano kama hiyo Cd, hapo inaonesha inamulikwa na Mwangaza lakini haina kivuli, so jifunze kuedit kivuli, huwa zinaongeza mvuto wa picha na kujenga uhalisia, na kama unajua kitu kinachoitwa 3D, basi jifunze ukitumie
Aah sawa nimekupata saana apo
 
Kwa kwel una mengi ya kujifunza, katika 100 wewe una 30. Ukweli ni mchungu ila lazma usemwe. Kuna tutorial kibao youtube pitia ztakusaidia
 
Pia ongeza umakini ktk kazi zako...mfano hiyo picha ya kwanza kwa mbali background inaonekana ni ya kudownload afu ilikuwa ya kulipia lakini wewe umetumia demo,hivo kuna watermark flani inaonekana ina maneno "Arf 123" jaribu kucreate bg zako mwenyewe
 
Kawaida ya cover inatakiwa imvutie mnunuaji ila iyo ya kwako mteja akiangalia anapata kidhungudhungu
 
Pit brown me ni pro graphics designer, pamoja na hizo covers za mixtape, album n.k nasema ni pro kwa kuwa nimejifunza graphics kuendana na Adobe Ace Syllabus, nna mengi ntakwambia nikitulia, unaweza check baadh ya covers zangu chache sana hapa Trumpanamo on DeviantArt
 
Pit brown me ni pro graphics designer, pamoja na hizo covers za mixtape, album n.k nasema ni pro kwa kuwa nimejifunza graphics kuendana na Adobe Ace Syllabus, nna mengi ntakwambia nikitulia, unaweza check baadh ya covers zangu chache sana hapa Trumpanamo on DeviantArt
 
Pia ongeza umakini ktk kazi zako...mfano hiyo picha ya kwanza kwa mbali background inaonekana ni ya kudownload afu ilikuwa ya kulipia lakini wewe umetumia demo,hivo kuna watermark flani inaonekana ina maneno "Arf 123" jaribu kucreate bg zako mwenyewe
Sawa mkuu nimekupata vyema
 
Back
Top Bottom