Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Habari zenu wanaJF,
Kwa heshima na taadhima, naomba mfungue hiyo attachment/clip ikionesha LAPTOP yangu HP 620 namna inavyo behave.
Naomba mnisaidie namna ya kutibu tatizo hilo, na ikiwezekana estimated cost ya kukamilisha tiba ya hilo tatizo.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.