Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

tecno j5 after full flash with romkingz file imezima......nmedownload ya hovatek imefail kutembea inasema boot phone ack error... msaaada jaman kwa wajuz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani anayejua kufungua website anisaidie nitamlipa nimesoma html [\color] nimemaliza sasa nataka kufungua website yangu Unaweza kuni pm au ukanicheki kwenye gmail yangu allykitupe@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu jameni. Naulizia mtu anayeweza kurecover HDD iliyogoma kufanya kazi. Ukiiweka kwenye computer haionekani, ilikuwa na data 1.2TB. Ni kampuni gani inayoshughurika na hiyo kazi hapa Dar?
0 Reactions
6 Replies
832 Views
Habari wanatech, kwa sasa natumia VPS ya jamaa hawa Aruba ila naona hawako anonymous na napokea warnings na report ya kufungiwa kutumia hii ya server kwa makosa ya copyrights kama torrents bla...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay.com, lakini sasa nilitaka kununua kitabu kupitia amazon.in imekuwa ngumu coz wao wanaship bidhaa zao ndani ya India, sasa nilikuwa naomba msaada kama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahan wana jf naomba mnisaidie natumia tecno c5 kuna tatizo kila nikimpigia mtu inaniandikia "call not sent limit exceeded" naitaj msaada jaman
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kitengo cha DARPA (Defence Advanced Research Projects Agency) kinachohusika na tafiti za kiteknolojia za kiulinzi/kijeshi kimefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kutengeneza risasi ambazo zitaweza...
7 Reactions
140 Replies
13K Views
Huawei inagoma kuroot inaishia asilimia 65 then inasema failed. Anaejua msaada.
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Wadau nisaidieni ku-root android tecno W3, version 6.0 marshmalow. Nilijaribu app zote za ku-root(kingroot kingoroot framaroot n.k) lakini imegoma.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Zenu Msaada Simu yangu Inashindwa Kuroot.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa anayefaham nawezaj kuroot tecno C9 bila laptop??! Nimejaribu application tofauti tofauti kam vile kingroot,, framaroot lakini zote imeshindikana,,, msaada tafadhali
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za Leo ndugu wana jf,poleni na majukumu ya kazi naombeni msaada wenu ni kwamba nilifanikiwa Ku root simu yangu Samsung s3 sasa nikawa na flash ROM nikafanikiwa sasa wakati wa kuflash Gapp...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
wakuu Naomba tujuzane kuhusu hii tekinolojia ya usiri. Wanasema n end to end message sasa vipi tcra Bado wanawakatama watu kwa ajili ya post zao za whatsap
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hamjambo wadau? mwenye ujuzi naomba msaada tafadhali, ninatumia simu aina ya BLU Win510L, simu hii inatumia Windows 8.1 OS, tatizo ni kuwa simu hii iko slow vibaya mno kwenye mtandao natumia line...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
500gb nipm tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Whatsapp kwa nnavyo jua hua ina save data kwenye root files na ina save data backups(msgstore.db.crypt12) kwenye sdcard ya kawaida Sasa swali langu ni jinsi ya kufungua ( msgstore.db.crypt12 )
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wakuu, naombeni msaada wa hii kitu kwenye iPhone, app ya video na music hazifunguki, kila nikifungua inaniandikia cannot connect to iTunes Store! Nifanye vipi ili nifanikiwe kuplay?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi nikweli kabisa pamoja na kuonyeha na kusaidiana hapa kwa Tech tumeshindwa kufanya kitu kama hiki au.....Hizi zina tengenewa Ghana na shuguli hizi za utengenezaji zinafanyikia kwenye majengo...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Habar wana Jf Naomba kujuzwa wapi nitapata external GPU ya lap top inayotumia USB port Chief mkwawa na wengi naombeni msaada
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hellow guys, habari za wakati huu, kwa jina naitwa mussa ni CEO founder wa bluesoft technology inayojihusisha zaidi na shughuli mbalimbali za ki teknolojia ikiwemo -web hosting -domains...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom