Kaeni mkao wa kula! Massive Galaxy S8 leak reveals 25 new features

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,774
Massive Galaxy S8 Leak Reveals 25 New Features

Galaxy S8 press images show how sleek these new Samsung phones will be: Massive Galaxy S8 Leak Reveals 25 New Features
Screenshot-2017-03-26-at-20.35.27-1200x632.jpg%253Fwidth%253D960
 
nimeona nawao eti wana s8 na s8+ yani hawa wakorea kuwakopi apple wamezidi yani hawawezi kabisa kuja na vionjo vipya zaidi yakudesa kila toleo
 
nimeona nawao eti wana s8 na s8+ yani hawa wakorea kuwakopi apple wamezidi yani hawawezi kabisa kuja na vionjo vipya zaidi yakudesa kila toleo
mbona zamani tu wanatumia hivyo? umesahau s6 edge na s6 edge plus? moja ndogo nyengine kubwa?
s5 na s5 plus je? toka 2014 mwanzoni, s2 na s2 plus je? toka 2011, kama kuna kuigana hapo basi Apple ndo ameiga.

link ya s2 plus toka 2011
Samsung I9105 Galaxy S II Plus - Full phone specifications

na hao iphone kutengeneza plus wameigia wapi si walikuwa wanaponda misimu mikubwa?
 
HTC ONE ULTRA ndio mwisho wa matatizo
Ikifuatiwa na LG g6.
Hivyo vikorokoro vingine labda tusubirie galaxy note8
 
  • Thanks
Reactions: SDG
nimeona nawao eti wana s8 na s8+ yani hawa wakorea kuwakopi apple wamezidi yani hawawezi kabisa kuja na vionjo vipya zaidi yakudesa kila toleo

Hehehe, tatizo apple wakifanya kitu mnahisi wao ndio wameanzisha, hivi aliyetangulia kutengeneza simu zenye size mbili tofauti ni nani kati ya apple na samsung? Apple si ameanza juzijuzi tu hapa na iPhone 6+ sasa hivi ndiyo yupo iPhone 7. Samsung kaanza kutumia neno plus miaka zaidi ya 5 nyuma, na sio samsung tu, zipo kampuni nyingine nyingi zilizokua zinatumia neno plus before apple.
 
Back
Top Bottom