Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Cm yangu ina kawaida ya kufuta majina kwenye contact list hasa yale ambayo natumia sana
0 Reactions
4 Replies
756 Views
Wadau mambo VP?!??nlshadodosewa kuwa wapo wataalamu Wa IT ambao wanauwezo kuunganisha simu kwa simu. Simu ya 1 ikatumika kma camera na sm ya 2 ikatumika kma computer. Na hii inaunganishwa bila...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Habarini wakuu Samahana kwa anaye fahamu tatzo ka MTU kushindwa kupokea meseji za kawaida kwenye cm hata nikiangalia salio sipati meseji ya ujumbe pia hata nikitoa ela mpesa ela kule inafika...
0 Reactions
34 Replies
29K Views
Poleni na majukumu wajuzi wa mambo Naombeni unijuze jinsi ya ku truck namba ya mtu vitu kama sms, location ikiwezekana na voice call Asanteni
0 Reactions
18 Replies
22K Views
Namaanisha ile una audio file yako kisha kisha una enaweka picha then inakuwa kama video inayoweza kuwa uploaded Youtube Naitafuta hii program wakuu kwa anayejua plz..ambayo haiuzwi Ni kwenye...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Napenda kutanguliza heshima zangu kwenu..naomba msaada Kwa aliye Na ujuzi anielekeze au anisaidi kuweka hizo app ambazo hazipo AppStore ya iPhone.tunaweza kulindana.....Asante Sanaa kwa msaada...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Habari!wakuu ningependa kujua zaidi juu ya digital tv kwa tv kama lg na samsung kwa channel za kitanzania na nje ya tanzania na ni jinsi gani ya kuset,Nawasilisha kwenu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajukwaa naombeni msaada wa kuifanya modem yangu iweze kuwa na option ya call na ussd , Yani kila bando linapokauka inabidi nichomoe laini kwenye modem niiweke kwenye simu ili niweze kuingiza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa watu wa software samsung j7 frp imentoa jasho nataka kuremove imegoma... Nmetumia cracks za miracle zimefail... Nmejaribu na njia ya otg pia zmegoma.. Youtube nmeangalia but all solution...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
679 Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama kuu uingereza imepitisha maombi ya ligi kuu ya uingereza ya kuzuia mbinu za kutizama soka kupitia vyanzo vya internet wa mfumo maarufu wa kodi set-top boxers,wadau hii imekaaje!
4 Reactions
29 Replies
4K Views
tecno j5 after full flash with romkingz file imezima......nmedownload ya hovatek imefail kutembea inasema boot phone ack error... msaaada jaman kwa wajuz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani anayejua kufungua website anisaidie nitamlipa nimesoma html [\color] nimemaliza sasa nataka kufungua website yangu Unaweza kuni pm au ukanicheki kwenye gmail yangu allykitupe@gmail.com
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu jameni. Naulizia mtu anayeweza kurecover HDD iliyogoma kufanya kazi. Ukiiweka kwenye computer haionekani, ilikuwa na data 1.2TB. Ni kampuni gani inayoshughurika na hiyo kazi hapa Dar?
0 Reactions
6 Replies
832 Views
Habari wanatech, kwa sasa natumia VPS ya jamaa hawa Aruba ila naona hawako anonymous na napokea warnings na report ya kufungiwa kutumia hii ya server kwa makosa ya copyrights kama torrents bla...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa nikinunua bidhaa kupitia ebay.com, lakini sasa nilitaka kununua kitabu kupitia amazon.in imekuwa ngumu coz wao wanaship bidhaa zao ndani ya India, sasa nilikuwa naomba msaada kama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahan wana jf naomba mnisaidie natumia tecno c5 kuna tatizo kila nikimpigia mtu inaniandikia "call not sent limit exceeded" naitaj msaada jaman
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kitengo cha DARPA (Defence Advanced Research Projects Agency) kinachohusika na tafiti za kiteknolojia za kiulinzi/kijeshi kimefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika kutengeneza risasi ambazo zitaweza...
7 Reactions
140 Replies
13K Views
Huawei inagoma kuroot inaishia asilimia 65 then inasema failed. Anaejua msaada.
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Back
Top Bottom