Maoni kuhusu simu za Smart 7 zinazouzwa na Vodacom

Korozoni

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
264
105
Habari za muda huu wanajukwaa!

Kama kichwa cha thread kinavyojieleza,kuna simu mpya za Smartphone za Vodafone ambazo zinauzwa kwa Tsh.70,000/= tu.

Na zinaonekana kuwa na Android 6.0!

Kama kuna mtu ameshaitumia hii kitu atufahamishe juu ya ubora wake!Kuanzia Camera,ku-run Apps,nk.
 
Jalibu kuiangalia ukubwa wa RAM... Ikiwa na RAM ya kuanzia mbili nahisi itakuwa simu nzr ukilinganisha na bei yake hiyo!!
 
Mwenye uwezo was kuunlock Vodafone itumie mitandao yote tuwasiliane 0757641429
 
Kuliko ununue hiyo simu bora pesa yako ukanunue Nokia Obama
 
Back
Top Bottom