Msaada samsungj7 kuweka Microsoft window

cyrustheruler

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
2,044
1,869
Naomba usaidizi nataka kubadilisha samsungj7 kuwa na window ya Microsoft naomba usaidizi hapo nifanyeje?
 
Samahani naomba maelekezo ili nifanye naanzaje sijawahi kufanya hizo installation
 
Naomba usaidizi nataka kubadilisha samsungj7 kuwa na window ya Microsoft naomba usaidizi hapo nifanyeje?
Samsung J7 ni simu yenye uendeshwaji wa ANDROID, nalumia zinaendeshwa na WINDOWS. sasa hapo ni sawa na gari ya petrol kutamani kutumia Diesel.

Galaxy j7 ni simu nzuri especially kama ni hizi mpya za mwaka 2016, lakini kama umeipeda zaidi Windows sio mbaya kujaribu kuitumia. Zipo simu za windows ambazo bei yake sio ya kutisha uanweza kujaribu

lumia 430, lumia 435 lumia 720, lumia 535, lumia 550, lumia 730, lumia 735
 
Asante nimeelewa
 
Launcher ndo nini? Na mm nimevutiwa na hyo mcrosoft kama ya Lumia
Inakua hivyo
1ba7f436ab526b616c3cc0a8bc1d27ba.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom