Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza user interface

Habar wazee naomb msaad anaejua ku create system user interface msaad wenu jamani!#
User interface ni muonekano wa nje wa system yoyote hata website au app. Hicho unachokiona hata kwenye jamii forum ya website au app ni user Interface. Sasa elezea swali lako
 
User interface ni muonekano wa nje wa system yoyote hata website au app. Hicho unachokiona hata kwenye jamii forum ya website au app ni user Interface. Sasa elezea swali lako
Ndio mkuuu nachohitaji kujua namn ya kutengenez interface ya information system yan code zip ntatumia na hatua zipi ili niunde system ya website umensom mkuu
 
Back
Top Bottom