Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,683
Wakuu wangu....
Asanteni sana (hata sijui kwanini nawashukuru)
Nina Laptop yangu (Lenovo) inatumia Windows 10. Hard disk 465 GB.
Hard drive yake imefanyiwa partition mbili (Yaani local disk C and D)
Windows ipo kwenye hiyo local disks C (kama ilivo desturi)
Sasa wakuu nataka kufanya Double Booting (yaani nataka kuinstall au kuongeza Linux OS bila kuondoa Windows)
Nafahamu Windows na Linux are not compatible. I mean Windows haiwezi kuona File systems za Linux (ingawa Linux inaweza kuona File systems zote hadi za Windows).
Hivo nahitaji kuifanya partition hiyo Local disk D nitengeneze partition nyingine (mfano E) niweze kuiweka hiyo Linux OS. Maana yake hiyo Disk D ibaki na files ambazo Windows inaweza kuziona pia (pindi nikiamua ku boot kwa Windows).
Sasa Wakuu:
Inawezekana kufanya partition kwenye PC ambayo tayari ishafanyiwa partition??
Kumbuka Disk nayotaka kuigawa ni D peke yake (bila kuigusa local disk C)
Yaani sitaki kuvuruga Data zilizo kwenye C wala D.
Je njia rahisi ni ipi wakuu.... Ama ni lazima niformat kwanza Local disk D kabla ya kuanza Partiton??
Asanteni sana.