Msaada kwa PC yangu

Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,730
3,174
Naombeni msaada wa haraka wataalamu nifanye nin au nisolve vp hii ishu? Nina pc yangu siku ya tatu,leo keyboard inasumbua baadhi ya buttons kam zile f's zote,enter backspace,space,caps and num lock na zngne alphabets buttons hazifanyi kazi kabisa nikibonyeza hazirespond.nashndwa kufanya mambo yangu,naomb ushauri na msaada wakuu ili pc angu ipone tafadhali.natumia pc aina ya toshiba ni old model core i5.
 
Mkuu hiyo PC ulimwagia chai au maji kwenye hiyo keyboard?
Inavoonesha inawezekana kuna maji ya mvua yaliingia ndani yake mana nliacha karbu na dirisha then kuna siku mvua zilinyesha nami sikuepo.so nahisi itakuwa ni ivo mkuu,vp naitibu vp tafadhali.
 
hapo tatizo hamna wala usipanic... hiyo keyboard imelegea mkanda kwa hapo ndani.. cha kufanya fungua na usokomeze vizuri mkanda halaf funga.. lazima isome!
nishatibu nyingi za hivyo..!
 
hapo tatizo hamna wala usipanic... hiyo keyboard imelegea mkanda kwa hapo ndani.. cha kufanya fungua na usokomeze vizuri mkanda halaf funga.. lazima isome!
nishatibu nyingi za hivyo..!
Ivo eh,lakini mkuu ishu inakuja kwenye kuifungua mana sijawahi then sielew ntaanzia wap au naogopa kuiharbu.vp naweza kuktafta kam upo hapa dar.unisaidie?
 
Ivo eh,lakini mkuu ishu inakuja kwenye kuifungua mana sijawahi then sielew ntaanzia wap au naogopa kuiharbu.vp naweza kuktafta kam upo hapa dar.unisaidie?
daah.. nipo dodoma mkuu... ila em jaribu kuulizia humu kama kuna aliye karibu hapo akuwekee vizuri... sio tatizo kubwa ni kidogo tu sema we hukuwahi kufungua so sikushauri mtafute mwenye idea...
 
daah.. nipo dodoma mkuu... ila em jaribu kuulizia humu kama kuna aliye karibu hapo akuwekee vizuri... sio tatizo kubwa ni kidogo tu sema we hukuwahi kufungua so sikushauri mtafute mwenye idea...
Poa thanks sana,boss..for your help.
 
Back
Top Bottom