mhali gani wadau.
nilikuwa napenda kujua ni jinsi gani naweza kuboost page ya facebook kwani kila napojaribu naona kuna sehemuza kujaza zilioandikwa YY mara DD
nini maana yake ?
Nahitaji msaada kwa anaeweza kunisadia au kunipa maelekezo jinsi ya kuanlock hii simu
Nimeitumia kama 10 months lakini kuanzia jumapili nimeamka inaomba Network unlock code
Habari wakuu ?
Naomba ushauri wenu juu ya website hii ya e commerce. niliyodesgn kwaajili ya drop shipping business ya bidhaa ndogondogo kutoka china. vipi muonekano wake na urahisi kwa watanzania...
wakuu salamun
Naombeni mnisaidie jambo moja kuhusu PayPal, nilikuwa najisajili lakini nikajikuta nimeandika jina LA mkoa badala ya jina LA wilaya inamaana Kama nitanunua chochote basi kitatumwa...
Msaada wakuu..!
Kwa yeyote anaye fahamu jinsi ya ku_purchase mzigo eBay eg. Mobilephone, nawezaje kuepukana na mataperi na pia kuweza kupata kitu ambacho ni Og..kwa anayefahamu nitashkuru kwa...
Wakuu nilikua naomba msaada wenu kma kichwa cha habar kilivyoeleza apo juu nilikua naomba kujuzwa kwa maana nimetafuta sana wenye nayo au anayeijua atusaidie apa
Habarini..
naomba kuuliza kuhusu hii issue ya kucopy na kupaste katika simu... hivi ni kwa muda gani ulichokikopy kwa kutumia kidole chako unaweza kaa nacho kabla hujapaste?...halafu pia...
habarini za asubuhi vijana wangu naomba msaada wa haraka sana nataka nitengeneze email proffesional kwa mfano jack@doctor.co.tz nafanyaje wadau nahitaji majibu sasa hivi na kama kuna watu unawajua...
Kwa wale wataalamu wa mambo yetu ya GRAPHICS nimefanya installation ya ADOBE PHOTOSHOP both CS5 AND CS6 lakini sioni ile option ya 3D. Nimejaribu kutafuta solution nakakutana na application ambayo...
Wana jf natumia simu aiana ya Samsung galaxy ji tatizo lake ni kwamba nikitumia mitandao ya kijamii kama instagram,simu inaandika kwamba storage imejaa hata kama kukiwa na memory na hali hiyo...
Black holes are the source of endless fascination and speculation. Do they hold the secrets of the universe and perhaps even the key to time travel itself?
We may never know the answers to...
Habari bandugu.
Nina simu ya kutoka msumbiji aina ya Movitel ukiweka laini za Tanzania hazifanyi kazi.
Ninatumia laini za Vodacom Tanzania wala haisomi,msaada wana-IT.
Habari wadau,
Nimekuja hapa kupost my experience with a fraud web developer na kama kuwapa caution wengine.
Kuna watu wanajifanya ma web developer lakini ukimpa kazi anaanza mizungusho. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.