Ifanye simu yako kuwa private daima

Pit brown

Senior Member
Jun 30, 2015
132
64
Hello wana JamiiForums! Leo nimekuja kujuzana zaid katika ulinzi wa sm yako na kuitumia ww kama ww daima!
Na ata ukiipoteza ama kuibiwa nivgumu kutumiwa na mtu mwengine yyeto yule!

Kuna hii program ambayo unaweza kulock mtandao au sim yaan nikiwa namaana simu yako aiwez tumia line nyengine yeyote au namba nyengine isipokuwa hyo iliokwenye sm ata kwa kuflash ama kurestore aiwez kutoka
Nakulock mtandao sm yako aitatumia mtandao wowote ule mbali na mtandao uliokweny line
Na kama utabadili line itakulazm uweke password ambazo ww mwenyewe umeweka. Kama ukiweka password sm itafanya kaz kama umeisahau bhas sm itawaka lakin aipandish mtandao kwa garama yeyote ile
Na ndivo ivo ivo kama umelock mtandao sm itawaka utapata huduma zote ila uwez fungua internet.

Kabla ya kufanya mabadiliko kweny sm yako hakikisha umesave data za awali maana unaweza kuuwa sm yako kabisa
PROGRAM hii aichagui root device au unroot device

Inapatikana kweny play store mtk engineer mode
da4b373a6727d0044fe068016d94036e.jpg

d711a4faa28e9168c8a1df4cd7668a88.jpg
 
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Mkwawa please naomba uje huku kutupa mwangaza zaidi wa hili jambo
 
Hakuna App inayoweza kufanya hizo vitu kwa kiwango pasipo kuroot simu,
Alafu hizo setting zinayeyuka ukifanya hard reset,
Nadhani kitu ambacho hakirudishiki kwenye android ni kufuta mafile( ya system) mfano folder la Contacts N.K,
na sehemu nyengine ni pale unapotaka kubadil ROM,
ila nadhani vingine vyote ni uongo
 
Kajarb mkuu na ulete marejesho
 
Kajaribu kwanza alafu leta marejesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom