Msaada wa jinsi ya "configurate" modemu kwenye kompyuta

kalendi

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
1,327
523
Heshima kwenu wanajamvi!

Naomba msaada wa maelekezo jinsi ya "configurate" modemu kwenye kompyuta. Maana nimezoea kwenye simu.

Natanguliza shukurani zangu za dhati!
 
Ni kweli usemavyo hata mimi niliinstal lakini sikufanikiwa au kwa kuwa nilitumia laini ya Halotel?
 
Ni kweli usemavyo hata mimi niliinstal lakini sikufanikiwa au kwa kuwa nilitumia laini ya Halotel?
Kama unatumia Modem ya halotel au line ya halotel. Kuunganisha internet ingia kwenye NETWORKS kwenye windiws 7 au 8 au 10. Then connect huko ka ma unavyofanya kuConnect WI-FI.

170533055b6a647ce55999685f9b917b.jpg

02805ecbb4cd6d9b723e4c09494b813c.jpg
 
dashboard yake ipoje? maana hata sioni brand, hakuna sehemu ya kufanya confoguration ya dial no na apn?
 
dashboard yake ipoje? maana hata sioni brand, hakuna sehemu ya kufanya confoguration ya dial no na apn?

Inaleta ujumbe huu baada ya kumaliza kuinstal; the program can't start because initWH.dll is missing in your computer. Try reinstalling the program to fix this problem.
 
Inaleta ujumbe huu baada ya kumaliza kuinstal; the program can't start because initWH.dll is missing in your computer. Try reinstalling the program to fix this problem.
kwa hio tatizo ni dashboard umeshindwa kuinstall?

hio error hujakosea spelling? hebu icheki tena
 
Pole ila hiyo error inaweza kuwa ipo katika window na sio moderm, chukua hiyo error google. ila check spell kwanza
 
Back
Top Bottom