Hivi hii shida ni naisolve vipi

Innocizy

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,736
1,049
3aa09efc10d661134e6bccbc39840796.jpg

Naombeni msaada Chief-Mkwawa Kang
 
Nimetumia njia zote ikiwemo kuclear cache, kuweka kisponji kidogo lakini bado
 
masaa 24 inakaa hivyo au kuna wakati inasoma wakati inakuja hivyo?
Sio muda wote. Ila unaweza tumia Kama nusu saa ikaja hivyo. Unarestart unakaa dk 25 inakuja hivyo tena.
Sikuingine unakaa whole day haijaja hivyo ila night unashangaa hio imekuja tena.
Nilisoma Sana solution zake Google na videos YouTube nimefanya kadhaa ila tatizo lipo.
Vipi hapa bongo naweza badili chip tray?
 
ukiwa unachomeka hio line huhisi kama tray ya kuekea line imelegea?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom