ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
Jolla C ni moja ya simu zenye OS hii ya Sailfish ambayo endapo project hii ingeshika soko basi tungekuwa na chaguo la ziada pale unapoenda kununua Simu basi ungeweza kuchagua smartphone ya Sailfish badala ya Android au windows au hizo zingine.
jolla tablet
onePlus X
Turing phone
Ambacho kimenifurahisha zaidi ni hii habari , kwamba SailFish wameingia ubia na SONY na wanategemea kutoa simu ya SONY XPERIA X itakayokuja na SailFish OS.
Mobile World Congress 2017, Barcelona, February 27, 2017 - Jolla Ltd., the
developer of open operating system, Sailfish OS, today announced support for
Sony’s Open Devices Program, to provide a leading hardware platform for Sailfish
OS licensing customers and the Sailfish community.
Jolla is aiming to release an official version of its Sailfish OS for a range of Sony Mobile’s
Xperia devices - the first project is a Sailfish OS powered Xperia X, which is on show at
Jolla’s stand at Mobile World Congress 2017 (stand 5H19).
Hivyo pengine tukae mkao wa kula......