Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wanabodi! Mimi sina ujuzi na maswala ya ving'amuzi, sasa Hapa kuna mdau ametaka nimsaidie kupandisha channels za ktk king'amuzi cha Startimes, Please mwenye ujuzi atusaidie hapa.
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Big new Music Streaming Site. Swift streaming faster than YouTube. Great account Configuration,Fast Speed..Take Your Music with you everywhere you Go. Designed,Created and Hosted on Unlimited...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
Wana Jf naomba mnijuze, Hivi mwanaume anapo fanya tendo la ndoa na mke akiwa hayupo kwenye siku za kupata ujauzito spam huwa zinaenda wapi, hufanya kazi gani huko zinakoenda na zina kaa kwa muda...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Naomben mnisaidie Ku crack online game ili kupata free in app purchases kama gem coin natumia game za clash of clan(COC) ,shadow fight walking dead pamoja na dark sword
0 Reactions
1 Replies
558 Views
Wakuu Naomba kujua ubora wa simu hii ya tecno phantom 6 plus.. Kwa ambaye ameishaitumia Naomba unifahamishe nataka kununua hii simu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kuna mtu nlimblock whatsapp ila nashangaa text zake zinaingia bado huku inbox ya whatsapp... Hivi kuna njia ambayo mtu anaweza ji unblock... And huyo mtu hata siko nae karibu kusema ana...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Hi to All members Here, Think of new ideas on web and information technology.... Idea-1 :- User experience is driven by performance and creates perception of the service. In telecom the...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Naomba wakuu mnisaidie,nimeweka laini ya airtel kwenye simu na haisomi ule mnara wa internet,nifanye nini ili niweze kutumia internet yake.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari za kazi wakuu, naomba msaada nifanyeje simu yangu ya lumia 532 touchscreen yake inasumbua kwa mfano back, home na search hazifanyi kazi kabisa pia upande wa meseji herufi za juu yaan...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Kwa yeyote aliopo mwanza na anaitaji ili game anitafute PM we exchange na games nyengine za kwenye PC lipo full cracked na patch zake
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Hizi code zinafanya kazi bila error yoyote ya SQL au PHP (no browser error), tatizo linakuja ninapoweka pagination tu, kwa records za kwanza hakuna tatizo ila unapojaribu kubonyeza "NEXT LIST" ili...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Simu haiwezi kucheza baadhi ya video na picha kwenye simu. YouTube nikienda hakuna shida. Naomba anaeweza kusaidia kutatua tatizo.
0 Reactions
2 Replies
747 Views
naomba mwenye kujua bei na upatikanaji wa hizi Microsoft surface kwa Tanzania, Uganda au Kenya
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau mimi ndiyo mara yangu ya kwanza kumiliki laptop,sasa kila nikidownload kitu inaniandikia "no disc space" au "disc space is full"naombeni msaada wenu nifanyeje hapo!Maana hata pozi limeniisha.
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Wadau natanguliza heshima zangu kweny....naomba mwenye ujuzi wa kuweza kunielekeza Au kunifanyia hili zoezi tutalindana...nataka ni install app ambazo azipo AppStore ya iphone[emoji18]
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habarini wanajamvi. Ukitaka kuzipata whatsapp status za kwenye simu hapa namaanisha zile short clips zinazokua posted na watu walio kwenye whatsapp contacts namba zako ni simple fata hatua hizi...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Habari za asubuh wataalam , Mimi sio mtaalam wa maswala ya website na Domain, Nimenunua Domain kwenye moja ya kampuni za kitanzania, niliwaambia wanipe unlimited size kwasababu project yangu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ninaomba wataalamu wa IT.. mnisaidie hapa. Kila ninapotaka kuongeza au kuondoa file kwenye flash yangu Aina ya Twin Mos, inakataa kwa kuniletea ujumbe... This devise is write protection. Na kila...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu yangu tajwa hapo juu nimekumbana na tatizo la kuwa na mwanga mkali yaani hata nipunguze vipi bado macho yanaumia kutazama pia ukifungua app kma whattsapp inaonyesha kupauka sana tofauti na...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Back
Top Bottom