Msaada juu Ya Simu ya Samsung Duos J1

zipo model myingi za j1, kuna zenye 512mb ram na 1gb ram, hio ni ipi?

unatakiwa uijue model yake kwanza, na sio neno j1 tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom