Kwa hyo mkuu HDD disk itakua nzima?ieke kwenye cover mkuu ujaribu kuiangalia kama external hasa kwenye os ambayo sio windows
Mkuu kwenye cover nikichomeka kwenye window inasoma vizuri kabisa ile nikichomeka ndani inaniletea hyo errorieke kwenye cover mkuu ujaribu kuiangalia kama external hasa kwenye os ambayo sio windows
jaribu ku backup data then uiformat,Mkuu kwenye cover nikichomeka kwenye window inasoma vizuri kabisa ile nikichomeka ndani inaniletea hyo error
Hazitokei mkuutoa HDD halaf iweke tena kwa umakini halaf fanya kama unataka kushusha windows (ila usishushe) angalia je zile partitions zinatokea!!!!
umesema ukiweka kwenye caves na ukachomeka kwa nje inasoma!!!Hazitokei mkuu
Mkuu niformatt HDD yote au ile partition yenye window?jaribu ku backup data then uiformat,
Inasoma window kabisa kama ilvokua mwanzona inasoma na volume zake yaan inaandika used space na free space au inasoma kama device tu imeingia bila volume..!
test nyingine sasa... kama kuna computer nyingine hapo itoe HDD yake na iweke hiyo.. ikisoma nakupa jibu... ila HDD nzima haijafa!Inasoma window kabisa kama ilvokua mwanzo
test nyingine sasa... kama kuna computer nyingine hapo itoe HDD yake na iweke hiyo.. ikisoma nakupa jibu... ila HDD nzima haijafa!
Kuna mda niliiteast kuptia USB port ikasoma window kabisaDaah kwa sasa hivi mkuu nipo job ngoja nikfika home nitajaribu daah nashukuru kusikia HDD yangu ni nzima
kwenye upande wa HDD haina shida hadi hapo... yaan hiyo test ukiifanya inakupa tatizo la hapo ambalo nje na tatizo la HDD..!!!Daah kwa sasa hivi mkuu nipo job ngoja nikfika home nitajaribu daah nashukuru kusikia HDD yangu ni nzima
ukifika jaribu hiyo test kwanza nipate uhakika na jibu langu....Kuna mda niliiteast kuptia USB port ikasoma window kabisa
Sawa mkuu nitakuambiaaukifika jaribu hiyo test kwanza nipate uhakika na jibu langu....
Shida kubwa kwa hiyo pc ni hdd na OS tu lakin chanzo ni hdd maana hiyo ni hardware diagnosed error maana nimefuatlia mtirirko wa maelezo yako, chakufanya hiyo ukirepair bila format au ukiinstall os bila format bado itakusumbuaSawa mkuu nitakuambiaa
Asante sana mkuu kwa maelezo yako ubarikiwe nashukuru sanaShida kubwa kwa hiyo pc ni hdd na OS tu lakin chanzo ni hdd maana hiyo ni hardware diagnosed error maana nimefuatlia mtirirko wa maelezo yako, chakufanya hiyo ukirepair bila format au ukiinstall os bila format bado itakusumbua
chakufanya ichomeke kama ext HDD hamisha data muhimu kutoka kwenye drive iliyo kuwa na os hamishia kwenye partition nyngine ingawa huwa inashauriwa kwa tatizo la hdd bora kuformat hdd yote kwa maana kwamba delete partitions zote kabisa format halafu ugawe tena upya ingawa si vibaya pia hata uki deal na partition iliyo kuwa na windows mwanzo, pekee itafaa pia coz kuna sectors hapo ni zitakuwa zina skip au bad clusters so hata uki install os bila formating itakusumbua baada ya mda mfupi tena hdd za siku hizi ni vimeo balaa unaweza nunua leo halafu kesho unaanza kusikia clicking sound.
Lakin zingatia sana kusikiliza spin disk sound inayo toka wakati hard disk yako ina operate ukisikia visauti kama ina gonga hivi clicking sounds jua no longer itakusumbua hivyo anza michakato ya kutafuta mpya wakati hiyo inakusogeza.