Tatizo la Samsung s4

Jaribu kuangalia application ambazo zina run inawezekana umefungua nyingi kwa wakati mmoja. Jaribu kuzi uninstall zile ambazo hutumii kabisa.
 
Betri itakuwa imekufa. Kama unaweza kufika Tabata, nitafute nikupe betri mpya. Nilinunua betri kumbe simu yangu ilikuwa na shida ingine...
 
Back
Top Bottom