Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu naomba mnijuze bei ya tecno c9 mpya dukani kariakoo ni shilingi ngapi?..napenda kutanguliza shukrani kwenu..
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa kuweka nyimbo kwa iTunes kupitia Maana Apple ID yangu naona hairuhusu Mimi kuweza kupakuwa any music from I tunes
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa watu Wote ambao wako interested Na virus,worm Trojans AndroidRAT, botnets,ransomware Na all in all cyber security waweza changia lolote ulilonalo hapa ndani tuka discuss Na kujadili
4 Reactions
112 Replies
14K Views
Kwema wakuu? Naomba kujuzwa wapi napoweza kupata stylus ya galaxy note 3 kwa hapa Dar. Huwa naagiza aliexpress, ila kwa sasa inahitajika kwa haraka kidogo.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
checkout this android apps.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada wakuu nahitaji kujua na kuhakikisha ili nijiridhishe kabla sijanunua pc kuhusu ukubwa wa ram , processor na harddisk kabla cjanunua kuhakiki anacho sema ama kilicho andikwa na muuzaji .
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Za kushinda wana JF! Nahisi shemeji yenu amefanya mavirigiza yake anaona every thing nnachofanya katika simuy mf.wasap, insta, fb n.k! Kuna ndugu zake nimewasiliana nao kwa FB (family issues) na...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
Habari ndgu zangu . Nilikuwa ninaomba mwenye Uelewa kwenye simu anielekezeJinsii ya kuacha mawasiliano yangu kwenye simu yangu. Nikimanisha kila nitakae ongeanaye yawe recording kwenye phone or...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu mwenye uwezo wa kudownload VIP gold bet new version msaada
0 Reactions
0 Replies
484 Views
Habari wadau, Tatizo langu ni PC yangu monitor yake kimebadlika rangi yaani kinaonyesha rangi ya pink na kijani. Msaada wenu nahitaji na sijaiangusha wala kuibamiza na kitu chohote.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kuna nyumba ya vyumba vinne inatakiwa kufungwa internet je itacost kiasi gani na ni vitu gani vinatakiwa kununuliwa
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba usaidizi nimejaribu kucheck video tutorial nadhan naitaji usaidizi zaidi kwa lugha yang pendwa
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Wakuu! Nimekuwa interested sana na hizi laptop hasa ninapoziona zikifanya kazi kwenye movie nyingi sana ki'Intel/Science Fiction. Utakuta jamaa hasa soldiers wana run programs flanii hivii code...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HABARI ZENU WAKUU NAOMBA MSAADA ,NI FIRMWARE IPI INAYO WEZA KUINGILIANA NA HUAWEI Y530-UOO VODACOM TANZANIA,MAANA NIMEJARIBU KUFLASH KWA KUTUMIA FIRMWARE TOFAUTI TOFAUTI IMESHINDIKANA KUMECHI...
1 Reactions
0 Replies
768 Views
Hatakama simu ina app maalum ya kuscan, Powe servin & cleaning?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
msaada hizi coke free WiFi je kuna way nyingine ya kuunganisha au ni kama kawaida unawasha WiFi then unaconnect? mfano me nmejalibu kuitumia bhana na nipo na hotspot tower yenyewe kama 2 or 5 m...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Wakuu wenye madishi ya Startimes watuambie Kuna ndugu yangu ambaye tangu anunue dishi la Startimes tangu mwaka jana hajawahi kulipia hata senti lakini anapata local channel za bure zaidi ya 30...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Hk
0 Reactions
3 Replies
729 Views
Wataalam wa laptop ni ipi bora kati ya Asus Zenbook UX310 au HP probook 440 g3. Hp ni brand ilizoeleka bongo kwahivyo haina shaka. Upande wa pili asus wan design nzuri sana metallic ambayo kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom