Msaada: Nahisi shemeji yenu anaona kila ninachofanya kwenye simu yangu

mamtam

Member
Mar 25, 2017
30
17
Za kushinda wana JF!

Nahisi shemeji yenu amefanya mavirigiza yake anaona every thing nnachofanya katika simuy mf.wasap, insta, fb n.k!

Kuna ndugu zake nimewasiliana nao kwa FB (family issues) na huwa hataki niwasiliane nao! Sasa naulizaaa je inawezekana ameona charting zetu? Na kama hajaona, Je nikijitoa kwenye Facebook anaweza akaja kuona au itakuwa haoni chochote?

Alishawahi kunambiaga eti yeye akikaa kule ofisini kwa kutumia laptop anaona kila kitu nnachofanya mimi!

Nashindwa kuelewa anaona....na ana siku ya pili leo hajaingia ofc! ndio maana naulizaa je siku akifika ofisini anaweza kuona hata kama nmedelete a.c yangu? Naombeni msaada.
 
Mamtam Pole sana asee ila cha kukushauri tu ni kuwa Kwanza kagua simu yako kama ina apps ambayo huielewi i uninstall Pili Angalia mumeo kama Ameroot simu yako na kuwa Admin so he can puts Software ambazo ni ngumu kweli kuzi uninstall au hata kuziona pia ambazo humtumia kila kinachoendelea through Email yake
 
Na kama sio mtaalam wa simu copy contact zako zilizo kwenye simu then nenda setting na reset simu yako....ila ukiwa una reset usiwe na ki tiki kwenye back up we safisha simu yote
 
Mamtam Pole sana asee ila cha kukushauri tu ni kuwa Kwanza kagua simu yako kama ina apps ambayo huielewi i uninstall Pili Angalia mumeo kama Ameroot simu yako na kuwa Admin so he can puts Software ambazo ni ngumu kweli kuzi uninstall au hata kuziona pia ambazo humtumia kila kinachoendelea through Email yake
Acha kihelehele mkuu
Wewe unapenda kuchapiwa?
Huyo jamaa kafanya hivyo akiwa na lengo asichapiwe, wewe unakuja hapa unataka atoe hiyo app ili jamaa akachapiwe au?

Huyu mleta thread kama hana mambo mengi kwanini ahangaike kujua kama kadukuliwa? Si aache huyo jamaa yake aone tu

Wanaume tushirikiane, hawa wanawake ni hatari, wako ukiwepo… ukitoka ni wa mwingine
 
Ni Kosa kisheria kuingilia Privacy ya mtu bila ridhaa yake hata kama ni mke wake
 
Mamtam acha tu shemeji yetu akudukue maana hamna, kakukataza kuwasiliana na hao ndugu kwa lengo jema wewe unaendelea, huoni hiyo ni dalili ya kumkosea heshima?

Nahisi shemeji yenu amefanya mavirigiza yake anaona every thing nnachofanya katika simuy mf.wasap, insta, fb n.k!
 
Fanya factory reset kwenye simu, kama huwezi badili simu. hizo kelele hutozisikia tena.
 
Acha kihelehele mkuu
Wewe unapenda kuchapiwa?
Huyo jamaa kafanya hivyo akiwa na lengo asichapiwe, wewe unakuja hapa unataka atoe hiyo app ili jamaa akachapiwe au?

Huyu mleta thread kama hana mambo mengi kwanini ahangaike kujua kama kadukuliwa? Si aache huyo jamaa yake aone tu

Wanaume tushirikiane, hawa wanawake ni hatari, wako ukiwepo… ukitoka ni wa mwingine
Kudukua mawasiliano ya mtu sio vizuri na pia sio heshima! Kufanya hivyo kwa mpenzi wako nikuonesha kuwa humwamini sasa hata kama alikua hawazi kufanya atatafuta mbinu nyingine mbali na simu! We jiamini tu
 
Acha kihelehele mkuu
Wewe unapenda kuchapiwa?
Huyo jamaa kafanya hivyo akiwa na lengo asichapiwe, wewe unakuja hapa unataka atoe hiyo app ili jamaa akachapiwe au?

Huyu mleta thread kama hana mambo mengi kwanini ahangaike kujua kama kadukuliwa? Si aache huyo jamaa yake aone tu

Wanaume tushirikiane, hawa wanawake ni hatari, wako ukiwepo… ukitoka ni wa mwingine
Nimependa bure comment yako. Kama huna tatizo unahofu nini na umewasiliana nini huko FB na hao ndugu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom