Msaada: PC yangu imesumbua, monitor imebadilika rangi

Traw

Member
Dec 19, 2014
30
2
Habari wadau,
Tatizo langu ni PC yangu monitor yake kimebadlika rangi yaani kinaonyesha rangi ya pink na kijani. Msaada wenu nahitaji na sijaiangusha wala kuibamiza na kitu chohote.
 
habari wadau,
tatizo langu ni pc yangu monitor yake kimebadlika rangi yaani kinaonesha rangi ya pink na kijani..msaada wenu nahitaji na sijaiangusha wala kuibamiza na kitu chohote..
 
habari wadau,
tatizo langu ni pc yangu monitor yake kimebadlika rangi yaani kinaonesha rangi ya pink na kijani..msaada wenu nahitaji na sijaiangusha wala kuibamiza na kitu chohote..
Chek vga cable itakuwa ime loose au badirisha
 
kioo hicho kimepoteza rangi... kama huamini unga external uone kama haionekani fresh..!!!!
 
kioo hicho kimepoteza rangi... kama huamini unga external uone kama haionekani fresh..!!!!

hata mimi nina tatizo kama hilo kwenye toshiba yangu nikiunga kupitia hdmi picha inakuwa fresh bt yenyewe imekuwa black and white.... na michirizi upande mmoja wa kioo
 
hata mimi nina tatizo kama hilo kwenye toshiba yangu nikiunga kupitia hdmi picha inakuwa fresh bt yenyewe imekuwa black and white.... na michirizi upande mmoja wa kioo
tatizo la kioo kupoteza rangi linasababishwa na vitu viwili...
1. kuisha kwa muda wa kioo yaan uwezo na bado kinatumika kwenye pc.. kinatoa mistari ya rangi kuonyesha ishara kuwa kimekwisha muda ila hakina tatizo..

2. overheating... yaan hapa mashine inakuwa inapigishwa kazi kubwa kiasi kwamba feni inapumua kwa muda mrefu na kwa spidi ya juu kiasi kwamba kuna muda inazidiwa inaamua kupeleka taarifa kwenye power (kama ni laptop) na michirizi inaanza kwa case hiyo ni kuweka connection ya power vizuri na kupunguza kuipigisha mzigo!!!
 
Back
Top Bottom