Jaman kuna simu yangu inaonyesha hayo maneno nikitaka kuinstall WhatsApp apps, so hata ukibahatika kuinstall bado kupitia WiFi bado kusend text inasumbua.
Msaaada tafadhari
Habari ndugu zangu wa humu, naomba msaada wa simu gani ni nzuri inayopiga picha vizuri maana kwenye simu mimi huwa naangalia kamera na ram ,ninatumia tecno j8 mwanzo ilikuwa inapiga picha vizuri...
habari za wakati huu wanajamii, nina tatizo kwa mwenye kusaidia anisaidie tafadhali, nina laptop aina ya dell latiyude E5400, 32bit, hivi karibuni kuna mistari mistar inajitokeza kwenye kioo ikiwa...
Wakuu natanguliza salam kwanza
[emoji117] Naomba tujuzane kama kuna uwezekano wa kurudisha mafaili ya disk tofauti na C kwenye PC, mfano PC ina partition 2 tu means local disc C na D na ikatokea...
Kwa mwenye ujuzi au uzoefu au utaalam..anisaidie..
Nimefunga solar panel W150 na W 100
Kwa ajir ya matumiz ya nyumbani kama kuwasha taa..za nje getin n.k
Je ni CELL(battery) gan nzuri naweza...
Wadau! Natumaini mpo poa na harakati za kimaisha zinaendelea.
Hivi karibuni nilikikuta Sina ujanja, ikanidi nilirestore simu yangu (iphone) tukio Hilo lilipelekea kupoteza data zangu zote...
Habari wakuu. Simu yangu aina ya HUAWEI Y520 huwa inazima kila baada ya dk 3, hususani nikiwa ninaitumia; ila kama siitumii na nimeiwasha, haizimi. Nimejaribu kufanya factory reset zaidi ya mara...
Tafadhali naomba msaada wenu, nimeenda kwenye setting lakini naona haisaidii. Kwenye setting nimefanya default storage as memory card lakini kila ninachofanya kwenye boom J8 kinajisevu kwenye...
wadau ninaomba mnisaidie kwa wale wanaojua, ningependa kufahamu je nikinunua iphone ambayo imeflashiwa (refurbished) inaweza kuperfom kama iphone ambayo haijafanyiwa hivyo?
kuna kampuni inauza...
Wana jukwaa habari?
Anatafuta android app kwaajili ya kublock incoming sms. najua nyingi zinaweza iyo kazi but zinaweka spam box or blocked box.
je naweza pata app (free) ambayo itakua inazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.