Je, kuna umuhimu wa kuinstall mobile antivirus app

Je, kuna umuhimu wa kuinstall mobile antivirus app

jodac

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2014
Posts
354
Reaction score
380
Hatakama simu ina app maalum ya kuscan, Powe servin & cleaning?
 
Sikushauri.
install nauscan tu pale unapoisi tatizo baada ya hapo iondoe. Me binafsi huwa sioni faida yake mala nyingi husababisha simu kuwa nzito.
 
mfumo wenyewe wa android una matundu mengi hiyo antvirus itakuongezea simu kuwa nzito tu
 
Sikushauri.
install nauscan tu pale unapoisi tatizo baada ya hapo iondoe. Me binafsi huwa sioni faida yake mala nyingi husababisha simu kuwa nzito.
Nashukuru kwa ushauri maana niliweka master clean ikawa inanizingua kupost photo kwenye social netwrks.
 
Back
Top Bottom