zamkallytel
Member
- Jul 31, 2015
- 31
- 13
HABARI ZENU WAKUU
NAOMBA MSAADA ,NI FIRMWARE IPI INAYO WEZA KUINGILIANA NA HUAWEI Y530-UOO VODACOM TANZANIA,MAANA NIMEJARIBU KUFLASH KWA KUTUMIA FIRMWARE TOFAUTI TOFAUTI IMESHINDIKANA KUMECHI NASIMU YANGU.
tatizo la simu ina hang on logo.