High Vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,915
- 2,131
Kuna nyumba ya vyumba vinne inatakiwa kufungwa internet je itacost kiasi gani na ni vitu gani vinatakiwa kununuliwa
High Vampire kuna shida kidogo kwenye headingKuna nyumba ya vyumba vinne inatakiwa kufungwa internet je itacost kiasi gani na ni vitu gani vinatakiwa kununuliwa
Asante CHIEF MKWAWAinategemea na matumizi ila kwa nyumba router moja tu inatosha na repeater kwa maeneo ambayo signal zitakuwa hazifiki, ila kwa nyumba moja router nzuri inacover kote.
bei ya router average ni 150,000 inaweza pungua kidogo inaweza kuzidi kidogo. ila nakushauri kama unataka quality tafuta router ya 802.11ac yenye 5ghz japo itakua bei kubwa.
source ya internet unaweza tumia mobile internet tu ila itategemea na watumiaji, kama ni wengi itakwama na kuwa slow.
Vitu vya kununuliwa ni Modem na Router yenye inbuilt Wifi AP.Kuna nyumba ya vyumba vinne inatakiwa kufungwa internet je itacost kiasi gani na ni vitu gani vinatakiwa kununuliwa
Vitu vya kununuliwa ni Modem na Router yenye inbuilt Wifi AP.
au Router yenye inbuilt AP na Modem.
Kwa vyumba vinne AP moja tu inatosha kama vyumba vipo umbali wa kawaida. Ni vyema pia ukapata router yenye option ya ETHERNET (Lan) for future uses.
**Usinunue vile vi Mi-Fi kama vya voda, au airtel au smile.**
angalia mfano wa router ninayotumia na ina uwezo wa kupiga umbali wa kama mita 12 na ina option ya Ethernet.View attachment 357839
Au pia una uwezo wa kuitumia router yenye advanced features kama Mikrotik yenye option ya USB modem pia, ni powerful sana kuliko vi DLINK vidogo. pia ina Option ya Ethernet 4 na PoE moja.
View attachment 357840
Pia kuna Router zingine za DLINK zinazo pokea USB modem. kuna moja inauzwa 230,000/= hiyo nitakuwekeeni picha na model number hapa. ina uwezo wa kupiga kazi kwenye ofisi kubwa yenye floor 2 na vi room kadhaa.
Unatumia mtandao gani? Je umejaribu kubadilisha mtandao uone kama kuna tofauti. Pia umejaribu kutumia modem tofauti au kama una smartphone jaribu kutumia HOTSPOT ili ujue kama shida ni speed ya modem, au mtandao.mkuu nmependa maelekezo yakk nami kupitia hapo naomba tu unisaidie...napata shda sana kwenye swala la internet..natumia moderm tu hz za mitandao..ila bado naona kama speed zake si nzuri..sasa swali langu n moja kaka..ni kitu gan naweza tumia ili kufanya hii speed iongezeke..hata kama kuna cha kutafuta naonba ushauri wako mkuu.
shukran
mkuu mwanzo nilikua natumia moderm ya eatel nikawa naona kama speed yake si nzuri nikaamua kuiflash moderm itumie lain zote..kuweka halotel nikidhan speed itaongezeka ila wap...nimeachana na moderm sasa natumia Simu Hotspot lakin nayo naona yale yale tu..speed yake naona kama ya moderm tu..sema kuna wakat inakua speed wakat mwngine ndo inanyata kama kinyonga..kudownload wimbo wa mb 70 unatumia si chin ya dk 5 sita mpk 7 wimbo mmoja tu huo...nimehangaika vya kutosha had kichwa kimechoka naomba tu nisaidie cha kufanya..maana ishu zangj n kudownload sana sana sana..na mtumiaji ni mimi peke angu sina mtu wa kusema nampa...Unatumia mtandao gani? Je umejaribu kubadilisha mtandao uone kama kuna tofauti. Pia umejaribu kutumia modem tofauti au kama una smartphone jaribu kutumia HOTSPOT ili ujue kama shida ni speed ya modem, au mtandao.
Na ukitumia Simu peke yake? Yaani ukiweka hiyo line Kwenye simu na kuBrowse. Jaribu kuplay video online kwa kutumia simu ili ujue kama shida ni pc.mkuu mwanzo nilikua natumia moderm ya eatel nikawa naona kama speed yake si nzuri nikaamua kuiflash moderm itumie lain zote..kuweka halotel nikidhan speed itaongezeka ila wap...nimeachana na moderm sasa natumia Simu Hotspot lakin nayo naona yale yale tu..speed yake naona kama ya moderm tu..sema kuna wakat inakua speed wakat mwngine ndo inanyata kama kinyonga..kudownload wimbo wa mb 70 unatumia si chin ya dk 5 sita mpk 7 wimbo mmoja tu huo...nimehangaika vya kutosha had kichwa kimechoka naomba tu nisaidie cha kufanya..maana ishu zangj n kudownload sana sana sana..na mtumiaji ni mimi peke angu sina mtu wa kusema nampa...
Shukran Mkuu.
videoina playbla tatzo kabsa yaniUnatumia mtandao gani? Je umejaribu kubadilisha mtandao uone kama kuna tofauti. Pia umejaribu kutumia modem tofauti au kama una smartphone jaribu kutumia HOTSPOT ili ujue kama shida ni speed ya modem, au mtandao.