xhmudar255
Member
- Feb 7, 2017
- 15
- 5
msaada hizi coke free WiFi je kuna way nyingine ya kuunganisha au ni kama kawaida unawasha WiFi then unaconnect? mfano me nmejalibu kuitumia bhana na nipo na hotspot tower yenyewe kama 2 or 5 m lakini mrejesho ni kwamba unaambiwa out of range au haiconnect kabisa, kwa anaefaham atujulishe jamani, nawasilisha..