Natafuta Stylus ya Samsung Galaxy Note 3

Sirbuni

Senior Member
Aug 19, 2012
103
33
03e6573f4fe4ceca090f925f3fb52c6d.jpg

Kwema wakuu?
Naomba kujuzwa wapi napoweza kupata stylus ya galaxy note 3 kwa hapa Dar. Huwa naagiza aliexpress, ila kwa sasa inahitajika kwa haraka kidogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom