YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Wakuu! Nimekuwa interested sana na hizi laptop hasa ninapoziona zikifanya kazi kwenye movie nyingi sana ki'Intel/Science Fiction.
Utakuta jamaa hasa soldiers wana run programs flanii hivii code si code basii mbwe mbwe nyingiii.
Sasa wakuu naomba kufahamu kwanza je ni kweli yale mambo wanayofanya kwenye movie (kama ulishawai na wewe kuziona) ni kweli au wanatuongopea.
Na je, kama nikihitaji nimiliki kwa hapa Tanzania yetu ntaipatia wapi na kwa gharama ya Tsh ngapi?
Karibu Tujuzane!