Msaada wakuu nahitaji kujua na kuhakikisha ili nijiridhishe kabla sijanunua pc kuhusu ukubwa wa ram , processor na harddisk kabla cjanunua kuhakiki anacho sema ama kilicho andikwa na muuzaji .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.