Msaada wa PC yangu wakuu

Habari wakuu Nina komputa yangu nataka kufungua WiFi iwe on lakin inakataa sijajua tatizo nn .....nimejaribu Mara nyingi kuweka on lakin bado inakataa ....naomba msaada wakuu tafadhali
522858ec9cfe46a0752ad4326dd5266b.jpg
Mkuu kwan huoni hapo kwenye keyboard kuna alam ya orange ya kimnara kuwa umezima WIFI,

Kibonyeze kiwe white, baada ya hapo kama itagoma tupe screenshot ya device manager
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom