Download app inaitwa AUTOMATIC CALL RECORDER..Habari ndgu zangu . Nilikuwa ninaomba mwenye Uelewa kwenye simu anielekezeJinsii ya kuacha mawasiliano yangu kwenye simu yangu. Nikimanisha kila nitakae ongeanaye yawe recording kwenye phone or memory.
sio aina gani ya simu bhnUnatumia aina gani ya smu