Laptop haijafa mkuu nizima kabisa tatizo la laptop yako ni harddisk ni tatizo la kawaida sana kwa laptop za sasa hivi hasa kwa mnao penda sana kutizama moviea kupitia laptop ,harddisk za sasa hivi ni mbovu sana ,
Mmmh!muache bishororo wa watu!!Mmh ulikosa location nzuri ya kupigia picha? Huo ukuta mmhh
Bishororo,, mbona chumba kichafu namna hiyo? Huwa unapata wageni wa jinsia ya ke kweli hapo kwako?
Asantee mkuuuLaptop haijafa mkuu nizima kabisa tatizo la laptop yako ni harddisk ni tatizo la kawaida sana kwa laptop za sasa hivi hasa kwa mnao penda sana kutizama moviea kupitia laptop ,harddisk za sasa hivi ni mbovu sana ,
Cha kufanya hapo huwa ni kudeal na hdd jaribu kuitoa halafu ichomeke tena vizuri kwa umakini kama unaweza kufanya hivyo lakin , ukiona haija saidia jaribu kuweka cd ya OS kisha fanya kama unaingiza OS upya kama ni windows au linux then uone kama harddisk inaoineka kupitia os instalation , kama inaonekana piga os upya kama najo haionekani badi badirisha hiyo HDD weka mpya maisha yataendelea,
ANGALIZO: kama sio Expert mtafute mtaalamu akufanyie hayo nlio kuelekeza hapo.
Yani hatari laptop yenyewe hata kufutafuta vumbi hakuna.Bishororo,, mbona chumba kichafu namna hiyo? Huwa unapata wageni wa jinsia ya ke kweli hapo kwako?