Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Wakuu wenye madishi ya Startimes watuambie
Kuna ndugu yangu ambaye tangu anunue dishi la Startimes tangu mwaka jana hajawahi kulipia hata senti lakini anapata local channel za bure zaidi ya 30 bila kulipa.
Hii ipo kwa madishi yote ya Startimes au ni bahati yake tu?
Picha anadai kwa dishi iko fresh.
Hebu wenye madishi ya startimes mtuambie ni kweli zinabaki channel nyingi hivyo au ni bahati yake? Maana nataka ninunue hilo dishi