Ndugu statement, sijaelewa unataka kuweka (kutoka kwenye device nyingine) muziki iTunes au kupakua(ku -download kutoka iTunes store) maana naona umetumia maneno yote mawili kuweka na kupakua!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.