Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu...jamani nisaidieni kupata link za jinsi ya kupata channel za dstv kwenye simu mwenye nazo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wakuu .laptop yangu hard disc imekufa ghafla .pc inaniandikia no bootable device. Nimeiweka kwenye PC nyingine pia imegoma.sasa shida yangu kubwa file za ndani walau nizipate alafu...
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Habari Jamii technology. Kwa anaefahamu naomba anisaidie kuelewa ni nini- Laptop yangu aina ya Acer Aspire window 8 imegoma kuwaka na imechemka sana, mara ya mwisho kuitumia ilikuwa ni jana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wadau nina simu yangu nlichukua kwa mtu ni iyo tajwa apo juu sasa ikawa hai run 3G nkaamua ni hard reset sasa balaa lake ni kwamba after hard reset ku reboot simu ikawa inadai previusly email sync...
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Takribani wiki mbili sasa nimekuea nahitaji hili rundo la Haliishi bila mafanikio. Mtandao wa Vodacom hapa Mmeniboa. Huduma kwa wateja hawapokei simu. Mmeshindwa vodacom.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana JamiiForum. Polen sana na majukumu. Nina simu yangu Huawei model Y 330-U110. Tatizo lake nikitaka kuangalia majina au kuweka vocha yaan nikibongeza application ya CONTACT...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani Naomba Msaada Wa Manual Internet Settings Za Mtandao Wa Vodacom, Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wana jamii..... Nina tatizo hapa wiki iliyopita pc yangu ilikua nikiiwasha inaandika no bootable device nikaweka fresh hard disk ikawaka sasa wakati nafunga bahati mbaya ile hard disk...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za leo wanajamvi? Bila shaka mko njema kabisa baada ya kumaliza shughuli za hapa na pale, hasa ukizingatia asubuhi ndo inatoa picha kamili ya siku. Turudi kwenye mada, simu tecno y6...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
infinix s2 pro is one of the latest and best available phones in the country phone specification 5.2 inches Display Size Android OS, v6.0 (Marshmallow) Octa-core 1.3 GHz Memory: 32 GB / 3 GB RAM...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Accoint wanakataa kuipitisha sababu iko related na another recently approved account.wameniwekea na email address kabisa ya hiyo account.Nafanyaje wakuu?
0 Reactions
2 Replies
908 Views
nimechukua Visa TravelMoney card pale BancABC ya dollars na kuweka vijisenti. nilikamilisha kila kitu na nilipoenda nyumbani nikaunganisha card na PayPal. tatizo linatokea kwamba haikubali...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Anae jua jinsi ya kupdate nokia lumia tafadhari naomba nisaidie
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Printer yangu inaniandikia ink pads end of user life Nifanyeje nami nnakazi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kureset epson machine, maana inadai kuerest ili iendelee kufanya kaz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeamua kuleta Trackers Tanzania nitaziuza kwa yoyote anayetaka. Nichombo kidogo tu uanaweza kukishona kata kwenye belt ya Surrualia. Kinatumia GPS, kwa hio kwa kutumia Smartphone Mtu yoyote...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Today, the job opportunities for Linux experts are more than ever. The Linux SysAdmin interview questions range from basic Linux questions to networking, DevOps, and MySQL questions. So, one needs...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya muda mrefu kidogo nimeamua kurudi kwenye C++ ambayo niliisomaga Uni. lakini niliichukia sana kwa sababu mbalimbali:mad:. Nimeanza na kitabu kinaitwa C++ Primer Plus (5th Edition). Au...
2 Reactions
96 Replies
11K Views
Wakuu nimefika bukoba nina kama wiki hivi ila network ni poor yaan sehem nyingi iko poor sana kuna sehem haishiki kabisa yaan inaenda hadi 0.0k/s hata whatsap haziingii text. Skype ndo ukiotea...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom